Hebrews 1:11-12

11 aHizo zitatoweka, lakini wewe utadumu;
zote zitachakaa kama vazi.
12 bUtazikungʼutakungʼuta kama joho,
nazo zitachakaa kama vazi.
Lakini wewe hubadiliki,
nayo miaka yako haikomi kamwe.”
Copyright information for SwhNEN